Swali: Uchawi wa kikweli na wa mazingaombwe ni kufuru kubwa?
Jibu: Ndio, ni kufuru kubwa inayomtoa mtu nje ya Uislamu. Amesema kwamba ni katika mambo yanayochengua Uislamu wa mtu. Jambo haliwi katika vichenguzi vya Uislamu isipokuwa pale litapokuwa ni katika kufuru kubwa inayomtoa mtu nje ya Uislamu. Kwa sababu kufuru ndogo sio katika vichenguzi vya Uislamu.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2SR6e5D
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni