Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya biashara kwa du´aa ambazo ndani yake kuna uchawi, mahimizo ya kunyoa ndevu, madawa ya kulevya na mfano wake?
Jibu: Kufanya biashara kwa haya ni haramu. Huku ni kueneza maovu na haramu. Hili ni chumo haramu. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Riziki haitafutwi kwa kumuasi Allaah (´Azza wa Jall).”
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2AHjDGo
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni