Translate

Jumamosi, 6 Julai 2019

Kuitikia salamu kwa kuashiria katika swalah ya faradhi


Swali


Inajuzu kuashiria katika swalah ya faradhi au hapana?

Jibu


Inajuzu katika swalah ya faradhi na ya sunnah. Akiashiria kwa mkono wake au kwa kichwa chake hakuna neno.


Marejeo Fataawaa Mutanawwi´ah (02) 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...