Aayah Na Mafunzo
Aal-‘Imraan
Makatazo Ya Kupinduka Mipaka Kumtukuza Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):
وَلَا يَأْمُرَكُمْ أَن تَتَّخِذُوا الْمَلَائِكَةَ وَالنَّبِيِّينَ أَرْبَابًا ۗ أَيَأْمُرُكُم بِالْكُفْرِ بَعْدَ إِذْ أَنتُم مُّسْلِمُونَ ﴿٨٠﴾
80. Na wala hakuamuruni kuwachukua Malaika na Manabii kuwafanya miola. Je, anakuamrisheni ukafiri baada ya nyinyi kuwa mmejisalimisha kwa Allaah? [Aal-'Imraan: 80]
Mafunzo:
Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) amekataza kutukuzwa kupindukia kiasi amesema: “Msinitukuze kama Manaswara walivyomtukuza Masiyh mwana wa Maryam, hakika mimi na mja kwa hiyo semeni mja wa Allaah na Rasuli Wake)) [Al-Bukhaariy na Muslim].
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni