Translate

Ijumaa, 26 Julai 2019

26-Fadhila Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Alifikishwa Mbingu Ya Saba Katika Safari Ya Usiku Mmoja Ya Israa Wal-Mi’raaj

Fadhila Za  Nabiy  (صلى الله عليه وآله وسلم)

26-Alifikishwa Mbingu Ya Saba Katika Safari Ya Usiku Mmoja Ya Israa Wal-Mi’raaj

www.alhidaaya.com

 

Tukio la miujiza ya Allaah (‘Azza wa Jalla) la Al-Israa wal Mi’raaj ambalo amemjaalia Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) asafiri usiku mmoja tu na kumfikisha mbingu ya saba.  Dalili ya safari hiyo ya mijuzia ni katika Quraan ni kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa):

 

سُبْحَانَ الَّذِي أَسْرَىٰ بِعَبْدِهِ لَيْلًا مِّنَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ إِلَى الْمَسْجِدِ الْأَقْصَى الَّذِي بَارَكْنَا حَوْلَهُ لِنُرِيَهُ مِنْ آيَاتِنَا ۚ إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ ﴿١﴾

 

Utakasifu ni wa Ambaye Amemsafirisha usiku mja Wake kutoka Al-Masjid Al-Haraam mpaka Al-Masjid Al-Aqswaa ambao Tumevibariki vilivyoko pembezoni mwake; ili Tumuonyeshe baadhi ya Aayaat (miujiza, ishara, dalili) Zetu. Hakika Yeye (Allaah) ni Mwenye kusikia yote, Mwenye kuona yote.  [Al-Israa: 1]

 

Na pia Kauli Zake Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala): 

 

ثُمَّ دَنَا فَتَدَلَّىٰ ﴿٨﴾

Kisha akakurubia na akashuka.

 

فَكَانَ قَابَ قَوْسَيْنِ أَوْ أَدْنَىٰ ﴿٩﴾

Kisha akawa kiasi cha umbali wa mipinde miwili au karibu zaidi.

 

فَأَوْحَىٰ إِلَىٰ عَبْدِهِ مَا أَوْحَىٰ ﴿١٠﴾

(Allaah) Akamfunulia Wahy mja Wake yale Aliyomfunulia Wahy.

 

مَا كَذَبَ الْفُؤَادُ مَا رَأَىٰ ﴿١١﴾

Moyo haukukadhibisha yale aliyoyaona.

 

أَفَتُمَارُونَهُ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾

Je, mnambishia kuhusu yale aliyoyaona?

 

وَلَقَدْ رَآهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾

Na kwa yakini amemuona (Jibriyl) katika uteremko mwingine.

 

عِندَ سِدْرَةِ الْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾

Kwenye mkunazi wa mpaka wa mwisho kabisa.  

 

عِندَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ ﴿١٥﴾

Karibu yake kuna Jannah ya Al-Ma-waa.

 

إِذْ يَغْشَى السِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾

Ulipoufunika mkunazi huo unachokifunika

 

مَا زَاغَ الْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾

Jicho lake halikukengeuka wala halikupinduka mipaka.

 

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ آيَاتِ رَبِّهِ الْكُبْرَىٰ ﴿١٨﴾

Kwa yakini aliona miongoni mwa Aayaat (ishara, dalili) za Rabb wake kubwa kabisa. [An-Najm: 8-18]

 

Na Hadiyth kadhaa ziloelezea kuhusu safari hiyo; miongoni mwazo ni zifuatazo ambazo alipofika mbingu ya saba ndipo ilipofaridhishwa Swalaah tano kwa Waislamu:

 

‘Abdullaah bin Mas’uwd alisema, “Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alipewa vitu vitatu: alipewa Swalaah tano, alipewa Aayah mbili za kumalizia Suwrah ya Al-Baqarah na kusamehewa kwa madhambi ya wale watu ambao hawamshirikishi Allaah miongoni mwa ummah wake.” [Muslim Namba 329].

 

 

Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema: “Allaah Alinipa ufunuo na Akasema kuwa Ummah wangu wanawajibika kuswali Swalaah khamsini (50) kila siku; usiku na mchana. Nilishuka kwenda kwenye mbingu ya Muwsaa (‘Alayhis-Salaam) akaniluza: “Lipi Rabb wako Amekupatia kwa ajili ya ummah wako?” Nikasema: “Swalaah Khamsini.”  Akasema: “Rejea kwa Rabb wako na omba Akupunguzie katika idadi hiyo ya Swalaah, maana watu wako hawawezi kubeba mzigo huo mzito. Kama vile nilivyotiwa katika mtihani na wana wa Israaiyl na nikawajaribu nikawaona kuwa walikuwa dhaifu sana na hawawezi kubeba mzigo kama huo.”  Hivyo Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alimgeukia Jibriyl (‘Alayhis-Salaam) kama vile akitaka kupata ushauri wake juu ya hilo. Jibriyl (‘Alayhis-Salaam) akasema: “Ndiyo, sawa, kama unataka hivyo.” Na wakarejea tena juu kwa Allaah.” [Al-Bukhaariy, Juzuu 9 Namba 608].

 

 

Kisha Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: “Nilirejea kwa Rabb wangu na kusema, “Ee Rabb wangu, Fanya vitu viwe vyepesi kwa ajili ya Ummah wangu. Allaah Alipunguza  idadi ya Swalaah khamsini na kuwa tano kwa ajili yangu. Nilishuka chini nikaenda kwa Muwsaa (‘Alayhis-Salaam) ambaye alisema: “Hakika watu wako hawataweza kubeba mzigo huu mzito. Rejea kwa Rabb wako umwombe afanye wepesi wa hilo, Ee Muhammad! Mimi nilijaribu kuwalingania Ummah wangu wana Israaiyl ili wafanye kidogo zaidi ya hayo, lakini hawakuweza kuyafanya hayo bali waliishia kukata tamaa.” [Al-Bukhaariy, Juzuu 9 Namba 608]. 

 

 

Basi nikawa natangatanga kati ya mbingu ya Muwsaa na kwa Rabb wangu mwisho Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Akasema: “Kuna Swalaah tano kila siku, usiku na mchana Ee Muhammad. Kila Swalaah imebeba uzito wa Swalaah kumi, na hivyo hizo ni khamsini vile vile. Mtu yeyote anayetia niyyah ya kufanya jambo zuri na asipolifanya basi atapata thawabu kwa hilo, na kama atalifanya hilo tendo, basi itaandikwa thawabu kumi kwa hilo. Wakati ambapo mtu aliyenuia kufanya uovu na akaacha kuufanya haitasajiliwa hiyo na kama atafanya uovu huo basi utasajiliwa uovu mmoja tu. Hapo nikashuka kwa Muwsaa (‘Alayhis-Salaam) na kumwambia hayo, Muwsaa akasema: “Nenda kwa Rabb wako ili afanye mambo yawe mepesi zaidi.” Juu ya kauli hiyo Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: “Nimekuwa nikienda kwa Rabb wangu mara kwa mara hadi naona aibu kusimama mbele yake. [Muslim].

 

Juu ya hilo Jibriyl (‘Alayhis-Salaam) akasema: ”Kwa jina la Allaah! Shuka sasa!”  Kisha Nabiy wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akaamka akiwa ndani ya Masjid Al-Haraam (Msikiti Mtukufu wa Makkah)” [Swahiyh Al-Bukhaariy, Juzuu 9 Namba 608]

 

Na pia ndani ya maelezo ya Al-Bukhaariy kuna maelezo zaidi kuwa: “…nilipoondoka nilisikia sauti:  “Nimetoa amri Yangu na kisha nimewapunguzia uzito Waja Wangu.”

 

 



26-Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Unyenyekevu Wake: Akiwahudumia Wajakazi Na Kuwatimizia Haja Zao

Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy  (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

26-Unyenyekevu Wake Akiwahudumia Wajakazi Na Kuwatimizia Haja Zao

 

www.alhidaaya.com

 

 

 

عن انس بن مالك قَالَ : كَانَتِ الأَمَةُ مِنْ إِمَاءِ أَهْلِ الْمَدِينَةِ لَتَأْخُذُ بِيَدِ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فَتَنْطَلِقُ بِهِ حَيْثُ شَاءَتْ‏.‏

Anas bin Maalik (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema:  Mjakazi  katika wakaazi wa Madiynah alikuwa akikamata mkono Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kisha humpeleka atakako.” [Al-Bukhaariy]

 

Riwaayah ya Ibn Maajah imesema kuwa mpaka amtimizie haja zake:

 

 

عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ، قَالَ إِنْ كَانَتِ الأَمَةُ مِنْ أَهْلِ الْمَدِينَةِ لَتَأْخُذُ بِيَدِ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم   فَمَا يَنْزِعُ يَدَهُ مِنْ يَدِهَا حَتَّى تَذْهَبَ بِهِ حَيْثُ شَاءَتْ مِنَ الْمَدِينَةِ فِي حَاجَتِهَا ‏.‏

Kutoka kwa Anas bin Maalik (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba pindi Mjakazi katika wakaazi wa Madiynah akitaka kukamata mkono Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) basi hakuwa akikataa kuondosha mkono wake, mpaka ampeleke atakapo Madiynah ili amtimizie haja zake.” [Ibn Maajah na ameisahihisha Al-Albaaniy katika Swahiyh Ibn Maajah (3386)]



081-Aayah Na Mafunzo: Uthibitisho Kuwa Khidhr Hayuko Hai

Aayah Na Mafunzo

Aal-‘Imraan

Uthibitisho Kuwa  Khidhr Hayuko Hai

www.alhidaaya.com

 Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

 

وَإِذْ أَخَذَ اللَّـهُ مِيثَاقَ النَّبِيِّينَ لَمَا آتَيْتُكُم مِّن كِتَابٍ وَحِكْمَةٍ ثُمَّ جَاءَكُمْ رَسُولٌ مُّصَدِّقٌ لِّمَا مَعَكُمْ لَتُؤْمِنُنَّ بِهِ وَلَتَنصُرُنَّهُ ۚ قَالَ أَأَقْرَرْتُمْ وَأَخَذْتُمْ عَلَىٰ ذَٰلِكُمْ إِصْرِي ۖ قَالُوا أَقْرَرْنَا ۚ قَالَ فَاشْهَدُوا وَأَنَا مَعَكُم مِّنَ الشَّاهِدِينَ ﴿٨١﴾

81. Na pindi Alipochukua Allaah fungamano kwa Manabii (akawaambia) “Kwa yale niliyokupeni kutoka kitabu na hikmah, kisha akakujieni Rasuli (Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) mwenye kusadikisha yaliyo pamoja nanyi; ni juu yenu kumwamini na kumnusuru.” (Kisha Allaah): Akasema “Je, mmekiri na mmekubali kuchukua juu ya hayo fungamano zito Langu?” Wakasema: “Tumekiri.” (Allaah) Akasema: “Basi shuhudieni na Mimi Niko pamoja nanyi katika wenye kushuhudia.”

 

Mafunzo:

 

Aayah hii ni miongoni mwa dalili za kufariki kwa Khidhwr (عليه السلام) na kuwa yeye amekwishakufa na si kama wanavyodai Masufi kuwa Khidhwr yupo hai,  na  lau kama angelikuwa yupo hai basi angesimama kumnusuru Nabiy Muhammad  (صلى الله عليه وآله وسلم) kwa kauli na matendo.



058-Asbaabun-Nuzuwl: Suwrah Al-Mujaadalah: Aayah 8

أسْبابُ النُّزُول

Asbaabun-Nuzuwl

Sababu Za Kuteremshwa (Baadhi Ya  Suwrah Na Aayaat Za Qur-aan)

Imekusanywa na: Alhidaaya.com

058-Suwrah Al-Mujaadalah: Aayah 8

 

 

Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):

 

  أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ نُهُوا عَنِ النَّجْوَىٰ ثُمَّ يَعُودُونَ لِمَا نُهُوا عَنْهُ وَيَتَنَاجَوْنَ بِالْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ وَمَعْصِيَتِ الرَّسُولِ وَإِذَا جَاءُوكَ حَيَّوْكَ بِمَا لَمْ يُحَيِّكَ بِهِ اللَّـهُ وَيَقُولُونَ فِي أَنفُسِهِمْ لَوْلَا يُعَذِّبُنَا اللَّـهُ بِمَا نَقُولُ ۚ حَسْبُهُمْ جَهَنَّمُ يَصْلَوْنَهَا ۖ فَبِئْسَ الْمَصِيرُ﴿٨﴾

8. Je, huwaoni wale waliokatazwa kunong’ona, kisha wanarudia yale waliyokatazwa nayo, na wananong’onezana kuhusu dhambi na uadui na kumuasi Rasuli na wanapokujia wanakuamkia kwa maamkizi Asiyokuamkia kwayo Allaah; na wanasema katika nafsi zao: Mbona Allaah Hatuadhibu kwa yale tunayoyasema? Jahannam inawatosheleza, wataingia waungue, basi ubaya ulioje mahali pa kuishia.

 

 

Sababun-Nuzuwl: 

  حدثنا عبد الصمد ثنا حماد عن عطاء بن السائب عن أبيه عن عبد الله بن عمرو أن اليهود كانوا يقولون لرسول الله صلى الله عليه وعلى آله وسلم: سام عليك، ثم يقولون في أنفسهم، لولا يعذبنا الله بما نقول، فنزلت هذه الآية: ((وَإِذَا جَاءُوكَ حَيَّوْكَ بِمَا لَمْ يُحَيِّكَ بِهِ اللَّهُ)) إلى آخر الآية.   .

Ametuhadithia ‘Abdu As Swamad, ametuhadithia Hammaad toka kwa ‘Atwaa bin As Saaib toka kwa baba yake toka kwa ‘Abdillaah bin ‘Amri ya kuwa Mayahudi walikuwa wakimwambia Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم): “Saam ‘alayka” (Mauti yawe juu yako), kisha wanajiambia wenyewe: “Kwa nini basi Allaah hatuadhibu kwa haya tuyasemayo?’ Hapo ikateremka Aayah hii:

 

وَإِذَا جَاءُوكَ حَيَّوْكَ بِمَا لَمْ يُحَيِّكَ بِهِ اللَّـهُ وَيَقُولُونَ فِي أَنفُسِهِمْ لَوْلَا يُعَذِّبُنَا اللَّـهُ بِمَا نَقُولُ ۚ حَسْبُهُمْ جَهَنَّمُ يَصْلَوْنَهَا ۖ فَبِئْسَ الْمَصِيرُ﴿٨﴾

Na wanapokujia wanakuamkia kwa maamkizi Asiyokuamkia kwayo Allaah; na wanasema katika nafsi zao: Mbona Allaah Hatuadhibu kwa yale tunayoyasema? Jahannam inawatosheleza, wataingia waungue, basi ubaya ulioje mahali pa kuishia.

 

[Al-Haythamiy kaitaja Hadiyth hii katika mjeledi wa saba ukurasa wa 122. Imesimuliwa na Ahmad, Al-Bazzaar na At-Twabaraaniy, na Isnaad yake ni nzuri haina shaka, kwa kuwa Hammaad aliisikia toka kwa ‘Atwaa bin As-Saaib katika hali ya uswahiyh, Muslim ameikhariji Hadiyth ya ‘Aaishah katika mjeledi wa 14 ukurasa 147, Ahmad katika mjeledi wa sita ukurasa 229, na Ibn Jariyj mjeledi wa 28 ukurasa wa 14].

 

حَدَّثَنَاهُ إِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، أَخْبَرَنَا يَعْلَى بْنُ عُبَيْدٍ، حَدَّثَنَا الأَعْمَشُ، بِهَذَا الإِسْنَادِ غَيْرَ أَنَّهُ قَالَ فَفَطِنَتْ بِهِمْ عَائِشَةُ فَسَبَّتْهُمْ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ ‏ مَهْ يَا عَائِشَةُ فَإِنَّ اللَّهَ لاَ يُحِبُّ الْفُحْشَ وَالتَّفَحُّشَ ‏‏ ‏.‏ وَزَادَ فَأَنْزَلَ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ ((وَإِذَا جَاءُوكَ حَيَّوْكَ بِمَا لَمْ يُحَيِّكَ بِهِ اللَّهُ)) إِلَى آخِرِ الآيَةِ ‏.‏

Ametuhadithia Is-haaq bin Ibraahiym, ametueleza Ya’alaa bin ‘Ubayd, ametuhadithia Al-A’amash kwa Isnaad hii isipokuwa amesema: ‘Aaishah akawagundua (makusudio yao), akawatukana na Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم)  akamwambia: ((Wacha ee ‘Aaishah, hakika Allaah Hapendi maneno machafu na tabia ya ulimi mchafu.” Akaongeza: Allaah (عزّ وجلّ Akateremsha:

 

وَإِذَا جَاءُوكَ حَيَّوْكَ بِمَا لَمْ يُحَيِّكَ بِهِ اللَّـهُ وَيَقُولُونَ فِي أَنفُسِهِمْ لَوْلَا يُعَذِّبُنَا اللَّـهُ بِمَا نَقُولُ ۚ حَسْبُهُمْ جَهَنَّمُ يَصْلَوْنَهَا ۖ فَبِئْسَ الْمَصِيرُ﴿٨﴾

Na wanapokujia wanakuamkia kwa maamkizi Asiyokuamkia kwayo Allaah; na wanasema katika nafsi zao: Mbona Allaah Hatuadhibu kwa yale tunayoyasema? Jahannam inawatosheleza, wataingia waungue, basi ubaya ulioje mahali pa kuishia.

 

 

Na pia,

   

دَّثَنَا عَبْدُ بْنُ حُمَيْدٍ، حَدَّثَنَا يُونُسُ، عَنْ شَيْبَانَ، عَنْ قَتَادَةَ، حَدَّثَنَا أَنَسُ بْنُ مَالِكٍ، أَنَّ يَهُودِيًّا، أَتَى عَلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم وَأَصْحَابِهِ فَقَالَ السَّامُ عَلَيْكُمْ فَرَدَّ عَلَيْهِ الْقَوْمُ فَقَالَ نَبِيُّ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ هَلْ تَدْرُونَ مَا قَالَ هَذَا ‏"‏ ‏.‏ قَالُوا اللَّهُ وَرَسُولُهُ أَعْلَمُ سَلَّمَ يَا نَبِيَّ اللَّهِ ‏.‏ قَالَ ‏"‏ لاَ وَلَكِنَّهُ قَالَ كَذَا وَكَذَا رُدُّوهُ عَلَىَّ ‏"‏ ‏.‏ فَرَدُّوهُ قَالَ ‏"‏قُلْتَ السَّامُ عَلَيْكُمْ"‏ ‏.‏ قَالَ نَعَمْ ‏.‏ قَالَ نَبِيُّ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عِنْدَ ذَلِكَ ‏"‏إِذَا سَلَّمَ عَلَيْكُمْ أَحَدٌ مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ فَقُولُوا عَلَيْكَ"‏ ‏.‏ قَالَ ‏"‏عَلَيْكَ مَا قُلْتَ‏"‏ ‏.‏ قَالَ ‏:‏ ‏((وإِذَا جَاءُوكَ حَيَّوْكَ بِمَا لَمْ يُحَيِّكَ بِهِ اللَّهُ)) ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ ‏.

 

Ametuhadithia ‘Abdu bin Humayd, ametuhadithia Yuwnus toka kwa Shaybaan toka kwa Qataadah, ametuhadithia Anas bin Maalik ya kwamba Myahudi mmoja alimjia Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)  akiwa na Maswahaba wake akasema: “As-Saamu ‘alaykum”, na watu wakamjibu. Nabiy wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم). Akawauliza: ((Je, mnajua kasema nini huyu?)) Wakasema: ((Allaah na Rasuli Wake Wanajua zaidi, yeye amesalimia tu ee Nabiy wa Allaah))?. Akasema: ((Hapana, lakini yeye amesema kadha na kadha, basi nijibishieni)). Wakamjibu. Akasema (Rasuli kumwambia Myahudi): Umesema: “As Saam ‘alaykum”. Akasema:  ((Naam)). Na hapo Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)   akasema wakati huo: ((Akiwasalimieni yeyote katika Ahlul-Kitaab, basi mwambieni “alayka”)). Akasema:  “Yawe juu yako uliyoyasema”. Akasema:

 

وَإِذَا جَاءُوكَ حَيَّوْكَ بِمَا لَمْ يُحَيِّكَ بِهِ اللَّـهُ  

Na wanapokujia wanakuamkia kwa maamkizi Asiyokuamkia kwayo Allaah;  

 

[Jaami’ At-Tirmidhiy amesema Abuu ‘Iysaa Hadiyth hii ni Hasan Swahiyh].

 



027-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kila Mtu Ana Jukumu La Kuchunga Atakaloulizwa

Lu-ulu-un-Manthuwrun

(Mkusanyiko Wa Hadiyth Mbali Mbali Na Mafunzo Yake)

Hadiyth Ya 27

Kila Mtu Ana Jukumu La Kuchunga Atakaloulizwa

www.alhidaaya.com

 

 

عَنْ ابْنِ عُمَرَ (رضي الله عنهما) عَنْ النَّبِيِّ (صلى الله عليه و آله وسلم) قَالَ:  ((كُلُّكُمْ رَاعٍ وَكُلُّكُمْ مَسْئُولٌ عَنْ رَعِيَّتِهِ،  وَالأمِيرُ رَاعٍ،  وَالرَّجُلُ رَاعٍ عَلَى أَهْلِ بَيْتِهِ، وَالْمَرْأَةُ رَاعِيَةٌ عَلَى بَيْتِ زَوْجِهَا وَوَلَدِهِ، فَكُلُّكُمْ رَاعٍ وَكُلُّكُمْ مَسْئُولٌ عَنْ رَعِيَّتِهِ)) متفق  عليه

Imepokelewa kutoka kwa ‘Abdullaah bin ‘Umar (رضي الله  عنهما)   kwamba Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: ((Nyote ni wachunga na kila mmoja wenu ataulizwa kuhusu alichokichunga. Kiongozi ni mchunga, na mume ni mchunga juu ya mkewe na mke ni mchunga juu ya nyumba ya mumewe na watoto wake. Kwa hivyo nyote ni wachunga na kila mmoja wenu ataulizwa kuhusu alichokichunga)). [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

 

Mafunzo Na Mwongozo:

 

 

 

1. Kila Muislamu analo jukumu lake ambalo ni limekuwa ni amana kwake kuichunga. Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):

 

 

إِنَّا عَرَضْنَا الْأَمَانَةَ عَلَى السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالْجِبَالِ فَأَبَيْنَ أَن يَحْمِلْنَهَا وَأَشْفَقْنَ مِنْهَا وَحَمَلَهَا الْإِنسَانُ ۖ إِنَّهُ كَانَ ظَلُومًا جَهُولًا ﴿٧٢﴾

Hakika Sisi Tulihudhurisha amana kwa mbingu na ardhi na majabali vikakataa kuibeba na vikaiogopa; lakini insani akaibeba. Hakika yeye amekuwa dhalimu mno, jahili mno. [Al-Ahzaab (33: 72)]

 

 

 

2. Jukumu ni amana na kila Alitochuruzuku Allaah (سبحانه وتعالى) ni neema kwetu, ikiwa ni mali au mke, au mume, au watoto, au elimu, na kila mmoja ataulizwa kuhusu neema hizo. Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):

 

ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ ﴿٨﴾

Kisha bila shaka mtaulizwa Siku hiyo kuhusu kuhusu neema. [At-Takaathur: 8]

 

 

 

3. Kutimiza amana ni miongoni mwa sifa zitakazompatia Muislamu Jannah ya Firdaws kama zilivyotajwa katika Suwrah: Al-Muuminuwn (23: 1-11)  

 

 

4. Mume na mke washirikiane katika malezi ya watoto ili watoto wakuwe na kuinukia katika maadili mazuri ya Kiislamu.

 

 

5. Mwanamke wa Kiislamu ana cheo kikubwa kwa kuwa ana jukumu kubwa la ulezi wa nyumba yake, na ameahidiwa kupata Jannah.

 

Rejea Hadiyth namba (26).

 

 

6. Kutimizia amana au jukumu ni jambo mojawapo la kumwezesha mtu kuvuka As-Swiraatw Siku ya Qiyaamah

 

Hadiyth: ((...na zitatumwa amana na ar-rahm [fuko la uzazi; uungaji udugu], navyo vitasimama pembeni ya Swiraatw kuliani na kushotoni…..))].[Muslim]

 

 

 

 



Jumatano, 24 Julai 2019

@BestMawaidha

JOIN

🎬 MAWAIDHA

167 members

🎬 MAWAIDHA

SABABU YA KUPATA KHUSHUI..NO 1 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/gJ1sUXfmybI

YouTube

SABABU YA KUPATA KHUSHUI..NO 1

23views14:19

July 23


🎬 MAWAIDHA

TAFAKARI HILI NILIO SEMA..? 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/0ECVu-n4PWs

YouTube

TAFAKARI HILI NILIO SEMA..?

22views14:19

🎬 MAWAIDHA

🔗@BestMawaidha . . ( جهنم يصلونها ) يدخلونها ( وبئس القرار ) المستقر . وعن علي كرم الله وجهه : الذين بدلوا نعمة الله كفرا : هم كفار قريش نحروا يوم بدر . وقال عمر بن الخطاب رضي الله عنه : هم الأفجران من قريش : بنو المغيرة وبنو أمية ، أما بنو المغيرة فكفيتموهم يوم بدر ، وأما بنو أمية فمتعوا إلى حين .. . #رعد_الكردي #رعدالكردي#رعد_محمد_الكردي #محمد_اللحيدان#سعيد_الخطيب #سلمان_العتيبي#فارس_عباد #هزاع_البلوشي #علي_جابر#عمير_شميم #سعد_الغامدي#سعدود_الشريم #ماهر_المعيقلي#خالد_الجليل #محمد_ايوب #وديع_اليمني#ناصر_القطامي #ادريس_ابكر#ياسر_الدوسري #مشاري_العفاسي #تلاوات#اسلام_صبحي #رعد_الكردي #allah #quran#makkah #muslim #raadalkurdy#raadalkurdi #quran_sunnah77

https://ift.tt/32FYBnX

Instagram

1:01

رعد الكردي | raad alkurdy

. . ( جهنم يصلونها ) يدخلونها ( وبئس القرار ) المستقر . وعن علي كرم الله وجهه : الذين بدلوا نعمة الله كفرا : هم كفار قريش نحروا يوم بدر . وقال عمر بن الخطاب رضي الله عنه : هم الأفجران من قريش : بنو المغيرة وبنو أمية ، أما بنو المغيرة فكفيتموهم يوم بدر ، وأما…

23views14:24

🎬 MAWAIDHA

🔗@BestMawaidha @almumin7_ . #النبي #اللهم_صل_وسلم_على_نبينا_محمد#ذكر #سبحان_الله #الحمدلله #عائض_القرني#صالح_المغامسي #اذكار #تسبيح #الله_اكبر#لا_اله_الا_الله #فيديو #جديد #الوتر#مقاطع #السعودية #مقاطع_دينية #جدة #مكة#دعاء #قرآن #تذكير #اكسبلور #اسلاميات#اسلام #الجمعة #استغفار #استغفر_اللهhttps://ift.tt/2y6jZVo

Instagram

1:01

الـمـؤمـن almumin

@almumin7_ . #النبي #اللهم_صل_وسلم_على_نبينا_محمد #ذكر #سبحان_الله #الحمدلله #عائض_القرني #صالح_المغامسي #اذكار #تسبيح #الله_اكبر #لا_اله_الا_الله #فيديو #جديد #الوتر #مقاطع #السعودية #مقاطع_دينية #جدة #مكة #دعاء #قرآن #تذكير #اكسبلور #اسلاميات #اسلام #الجمعة…

23views14:53

🎬 MAWAIDHA

SEHEMU YA 54-Darsa ya 12.- Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/WuoywSBT7aE

YouTube

SEHEMU YA 54-Darsa ya 12.- Sheikh Kondo Abul A'aliyah حفظه الله

Huu ni mfululizo wa Darsa za lugha ya kiarabu wa kitabu cha 1-4 na hiki ni kitabu cha kwanza kikiwa Sehemu ya *54* *Kabla ya hapo Kuna majlis 1-12* *👉Tafadha...

23views16:25

🎬 MAWAIDHA

🔗@BestMawaidha القارئ رعد بن محمد الكردي.... (قَالَ سَآوِي إِلَىٰ جَبَلٍ يَعْصِمُنِي مِنَ الْمَاءِ ۚ قَالَ لَا عَاصِمَ الْيَوْمَ مِنْ أَمْرِ اللَّهِ إِلَّا مَن رَّحِمَ ۚ وَحَالَ بَيْنَهُمَا الْمَوْجُ فَكَانَ مِنَ الْمُغْرَقِينَ (43)) فـ { قَالَ } ابنه، مكذبا لأبيه أنه لا ينجو إلا من ركب معه السفينة. { سَآوِي إِلَى جَبَلٍ يَعْصِمُنِي مِنَ الْمَاءِ } أي: سأرتقي جبلا، أمتنع به من الماء، فـ { قَالَ } نوح: { لَا عَاصِمَ الْيَوْمَ مِنْ أَمْرِ اللَّهِ إِلَّا مَنْ رَحِمَ } فلا يعصم أحدا، جبل ولا غيره، ولو تسبب بغاية ما يمكنه من الأسباب، لما نجا إن لم ينجه الله. { وَحَالَ بَيْنَهُمَا الْمَوْجُ فَكَانَ }الابن { مِنَ الْمُغْرَقِينَ } تفسير السعدي. #رعد_الكردي

https://ift.tt/2y3MYsL

Instagram

1:01

رعد الكردي | raad alkurdy

القارئ رعد بن محمد الكردي.... (قَالَ سَآوِي إِلَىٰ جَبَلٍ يَعْصِمُنِي مِنَ الْمَاءِ ۚ قَالَ لَا عَاصِمَ الْيَوْمَ مِنْ أَمْرِ اللَّهِ إِلَّا مَن رَّحِمَ ۚ وَحَالَ بَيْنَهُمَا الْمَوْجُ فَكَانَ مِنَ الْمُغْرَقِينَ (43)) فـ { قَالَ } ابنه، مكذبا لأبيه أنه لا…

24views17:09

🎬 MAWAIDHA

هنيئا لكم يا اهل الجزائر بهذا القارئ صوت من أجمل الأصوات التى سمعتها سعيد دباح 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/kDgnVa3LnfA

YouTube

هنيئا لكم يا اهل الجزائر بهذا القارئ صوت من أجمل الأصوات التى سمعتها سعيد دباح

https://www.instagram.com/quran_sunnah77 لا تنسوا جدي رحمه الله من صالح دعائكم / الدال على الخير كفاعلـه / لآتنسوآ التقييـم + نشـر المقطع / ▂▃▄▅▆▇█ لا تكتفي ...

24views18:01

🎬 MAWAIDHA

OMAR ABUBAKAR...NDOA NA RAMADHAN 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/7uIvoHN4Bxc

YouTube

OMAR ABUBAKAR...NDOA NA RAMADHAN

FACEBOOK https://web.facebook.com/AkashaDaawahTraders/ WEBSITE https://akashadaawah.com PHONE +254 721310082

25views20:42

🎬 MAWAIDHA

01 HAJJE 1440H SHEEKH MUHARAM IDRISA 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/KfqKEufSdbA

YouTube

01 HAJJE 1440H SHEEKH MUHARAM IDRISA

Hija ni moja ya nguzo za Uislam yenye Ulazima wa kutekekelezwa mara moja katika maisha ya binadamu Maana ya HIja kisheria ni nini? Ni ibada (kumuabudu Allaah...

25views21:46

🎬 MAWAIDHA

فجرية رعد الكردي ,, تلاوة هادئة ما تيسر من سورة الشورى [ مسجد الإمام الشافعي ] 📖@BestMawaidhahttps://youtu.be/L4loCO6JL-Y

YouTube

فجرية رعد الكردي ,, تلاوة هادئة ما تيسر من سورة الشورى [ مسجد الإمام الشافعي ]

فجرية رعد الكردي ,, تلاوة هادئة ما تيسر من سورة الشورى [ مسجد الإمام الشافعي ] اشترك الآن في القناة الرسمية للشيخ رعد بن محمد الكردي على اليوتيوب: https://go...

24views21:52

🎬 MAWAIDHA

Makosa ya Mahujaji | 02 | Uwajibu wa Hija | Sheikh Zaid Bashir | Africa TV2 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/jwFIHPd5nxw

YouTube

Makosa ya Mahujaji | 02 | Uwajibu wa Hija | Sheikh Zaid Bashir | Africa TV2

Nabii Ibrahim amani iwe juu yake aliamrishwa awatangazie watu waende kuhiji na kila mwenye kuwa na nia ya kuhiji amejibu kuwa labbaika Allaahuma labbaika Kos...

21views23:01

🎬 MAWAIDHA

#سورة_الأنبياء بصوت#الشيخ_خالد_بن_أحمد_النجمي من صلاة الخسوف ليلة 14 ذو القعدة 1440هـ 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/xX5q5u_Pmic

YouTube

#سورة_الأنبياء بصوت #الشيخ_خالد_بن_أحمد_النجمي من صلاة الخسوف ليلة 14 ذو القعدة 1440هـ

21views00:29

July 24


🎬 MAWAIDHA

📌من منكرات الأفراح لفضيلة الشيخ عبدالله بن محمد النجمي حفظه الله. 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/7npU6RZ0EeU

YouTube

📌من منكرات الأفراح لفضيلة الشيخ عبدالله بن محمد النجمي حفظه الله.

21views01:49

🎬 MAWAIDHA

💔 يا ليتني قدمت لحياتي ¦¦ جديد#منصور_السالمي 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/D9d6hr2Tmmw

YouTube

💔 يا ليتني قدمت لحياتي ¦¦ جديد #منصور_السالمي

21views02:13

🎬 MAWAIDHA

SHARUTI ZA KU ADHINI P 2 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/1n1Q0ZVF0hs

YouTube

SHARUTI ZA KU ADHINI P 2

Hakikisha Ume Subscribe Katika Youtube Yangu Ili Upate Darsa Zangu Mpya Zinapotoka —————————————————————————————————- Audio/Sauti ya Video Hii inapatikana Ka...

22views05:09

🎬 MAWAIDHA

البث المباشر عبر قناة زدني العلمية 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/UG_2U619mbc

YouTube

البث المباشر عبر قناة زدني العلمية

لمتابعة البث المباشر عبر إذاعة زدني العلمية الأولى : http://radio.ddns.me:8002/stream الإذاعة الثانية : http://radio.ddns.me:8003/stream 📱لحميل تطبيق إذاعة ز...

21views07:19

🎬 MAWAIDHA

SHEKHE MSELEMU ALLY-amali ambayo mwanadamu kwake ni ngumu kuifanya 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/VQaF9pqVKig

YouTube

SHEKHE MSELEMU ALLY-amali ambayo mwanadamu kwake ni ngumu kuifanya

hapa utapata mwaidha mengi ya shekhe mselemu https://ihsanimafundsho.blogspot.com/

21views10:11

🎬 MAWAIDHA

KURIDHIA MIPANGO YA MOLA 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/IxvfdyGMdw8

YouTube

KURIDHIA MIPANGO YA MOLA

22views11:14

🎬 MAWAIDHA

JEE WEWE NIMTOTO MZURI..? 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/dkYIaNmsw5k

YouTube

JEE WEWE NIMTOTO MZURI..?

21views11:19

🎬 MAWAIDHA

Fiqh ya Hija | 02 | Fadhila za Hija | Sheikh Muharram Idris | Africa TV2 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/j6aGq9PxbZA

YouTube

Fiqh ya Hija | 02 | Fadhila za Hija | Sheikh Muharram Idris | Africa TV2

Hija ni miongoni mwa nguzo za Uislam Mwenye kuhiji vizuri na kujizuia na matendo na maneno maovu atarejea kama vile alivyozaliwa (akiwa hana madhambi) Maana ...

19views12:01

🎬 MAWAIDHA

MTOTO MWEMA NI HUYU 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/cbGJ1_Go40w

YouTube

MTOTO MWEMA NI HUYU

18views12:29

🎬 MAWAIDHA

@BestMawaidha
https://www.facebook.com/groups/677990915697531/permalink/1279661368863813/

Facebook

0:32

Isha Jj

Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar jamani ndugu zangu tufanye ibada ndio kusudi kubwa LA sbhuhana kutuleta hapa duniani hebu tazama kachanga haka kalivyo weka mikono utajua nini namaanisha👇

18views12:30

🎬 MAWAIDHA

Translation 24th July 2019 Madeenah Fajr Sheikh Hudhaify 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/xpGXnloWlD0

YouTube

Translation 24th July 2019 Madeenah Fajr Sheikh Hudhaify

Download Haramain Android App: https://goo.gl/XFZQRe Download Haramain iPhone App: https://goo.gl/vEvRAz قناة القران الكريم HD Saudi Quran TV Live HD Haramai...

17views12:41

🎬 MAWAIDHA

UBORA NA UTUKUFU WA SWALA YA AL-FAJIR SEHEMU YA PILI. SHEIKH NUREEN KISHK 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/VNgf82794AU

YouTube

UBORA NA UTUKUFU WA SWALA YA AL-FAJIR SEHEMU YA PILI. SHEIKH NUREEN KISHK

Ubora wa swala ya Alfajir

15views15:49

🎬 MAWAIDHA

🔗@BestMawaidha اكتب شيء تؤجر عليه . . @almumin7_ . #النبي#اللهم_صل_وسلم_على_نبينا_محمد #ذكر#سبحان_الله #الحمدلله #عائض_القرني#صالح_المغامسي #اذكار #تسبيح #الله_اكبر#لا_اله_الا_الله #فيديو #جديد #الوتر#مقاطع #السعودية #مقاطع_دينية #جدة #مكة#دعاء #قرآن #تذكير #اكسبلور #اسلاميات#اسلام #الجمعة #استغفار #استغفر_اللهhttps://ift.tt/2Z8CcNZ

Instagram

1:01

الـمـؤمـن almumin

اكتب شيء تؤجر عليه . . @almumin7_ . #النبي #اللهم_صل_وسلم_على_نبينا_محمد #ذكر #سبحان_الله #الحمدلله #عائض_القرني #صالح_المغامسي #اذكار #تسبيح #الله_اكبر #لا_اله_الا_الله #فيديو #جديد #الوتر #مقاطع #السعودية #مقاطع_دينية #جدة #مكة #دعاء #قرآن #تذكير #اكسبلور…

16views15:53

🎬 MAWAIDHA

Sheikh Hamza Mansoor - MWISHO MWEMA 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/CjI_ENBz9yE

YouTube

Sheikh Hamza Mansoor - MWISHO MWEMA

Mahaasin Tv

16views16:36

🎬 MAWAIDHA

NAMNA YA KUJIANDALIA KW AJILI YA SWALA. 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/fNJsOsU_ACo

YouTube

NAMNA YA KUJIANDALIA KW AJILI YA SWALA.

16views17:05

🎬 MAWAIDHA

ومن الأمور المهمة على الخطيب|| للشيخ محمد بن زيد المدخلي وفقه الله 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/xEKklKRE3IE

YouTube

ومن الأمور المهمة على الخطيب|| للشيخ محمد بن زيد المدخلي وفقه الله

16views17:29

🎬 MAWAIDHA

رعد الکردي ,, سورة يوسف ’ قريبا ، إصدار جديد ، كاملة ’ من ليالي رمضان 1440 - مسجد الحباي _ دبي 📖 @BestMawaidhahttps://youtu.be/kQNhvVLG8wY

YouTube

رعد الکردي ,, سورة يوسف ’ قريبا ، إصدار جديد ، كاملة ’ من ليالي رمضان 1440 - مسجد الحباي _ دبي

رعد الکردي ,, سورة يوسف ’ قريبا ، إصدار جديد ، كاملة ’ من ليالي رمضان 1440 - مسجد الحباي _ دبي اشترك الآن في القناة الرسمية للشيخ رعد بن محمد الكردي على اليو...

20views17:42

🎬 MAWAIDHA

O Allah , Have Mercy On Our Mothers: Sheikh Mansour As-Salimi الشيخ منصور السالمي 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/K4L07l5-F7A

YouTube

O Allah , Have Mercy On Our Mothers: Sheikh Mansour As-Salimi الشيخ منصور السالمي

https://www.gofundme.com/translatedvideos (1 time Donation) https://www.patreon.com/onlyforAllah (Monthly fixed Donations) Social Links -------------------- ...

22views18:54

🎬 MAWAIDHA

30:47

Media is too big


VIEW IN TELEGRAM

Search: Nassor bachu - YouTube
Mawaidha ya Sheikh Nassor Bachu kuhusu Usiku wa Lailatul Qadri
@BestMawaidha

21viewsedited  19:05

Source

🎬 MAWAIDHA

🔗@BestMawaidha اكتب شيء تؤجر عليه 💬 . . القارئ / #سلمان_العتيبي_____________________________ #اللهم_صل_وسلم_على_نبينا_محمد #ذكر#سبحان_الله #الحمدلله #عائض_القرني#سعد_العتيق #صالح_المغامسي #اذكار#تسبيح #الله_اكبر #لا_اله_الا_الله #فيديو#جديد #الوتر #مقاطع #السعودية#مقاطع_دينية #جدة #مكة #دعاء #قرآن#تذكير #اكسبلور #اسلاميات #انستقرام#اسلام #التوبة #استغفار #استغفر_اللهhttps://ift.tt/2McFAUe

Instagram

0:32

الـمـؤمـن almumin

اكتب شيء تؤجر عليه 💬 . . القارئ / #سلمان_العتيبي _____________________________ #اللهم_صل_وسلم_على_نبينا_محمد #ذكر #سبحان_الله #الحمدلله #عائض_القرني #سعد_العتيق #صالح_المغامسي #اذكار #تسبيح #الله_اكبر #لا_اله_الا_الله #فيديو #جديد #الوتر #مقاطع #السعودية…

13views22:08

🎬 MAWAIDHA

Hija na dola Elfu Kumi kipi utachagua? | Africa TV2 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/PY8-6oXcl-A

YouTube

Hija na dola Elfu Kumi kipi utachagua? | Africa TV2

Tupate mitandaoni kupitia Facebook : https://www.facebook.com/AfricaTVCh2/ Instagram : https://www.instagram.com/africatvch2 Telegram : https://t.me/africatv...

10views22:26

🎬 MAWAIDHA

Makkah Live HD | قناة القران الكريم | بث مباشر | 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/gZarS4MOfSc

YouTube

Makkah Live HD | قناة القران الكريم | بث مباشر |

Makkah Taraweeh 1440 https://archive.org/details/MakkahTaraweeh1440 Madeenah Taraweeh 1440 https://archive.org/details/MadeenahTaraweeh1440 Download Haramain...

8views23:01

🎬 MAWAIDHA

ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ كُن للخير داعياً 🔘 ༻🔊༺ • ~ ~ ↓↓ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ . ° بصوت : ﴿ #سلطان_العمري ﴾ 🍂 الموضوع : ﴿ أوقد نورك ﴾ 🍂 . ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ مِنَ المُؤْمِنِينَ مَنْ يُضِيءُ نُورُهُ مِنَ المَدينَةِ إلى عَدَنَ أبْينَ فَصَنْعاءَ، فَدُونَ ذلكَ، حتى إنَّ مِنَ المُؤْمِنينَ مَنْ لا يُضِيء نُورُهُ إلا مَوْضِعَ قَدَمَيْهِ . وقوله: (ذَلِكَ هُوَ الْ&#…

8views23:12

🎬 MAWAIDHA

ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ كُن للخير داعياً 🔘 ༻🔊༺ • ~ ~ ↓↓ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ . ° بصوت : ﴿ #سلطان_العمري ﴾ 🍂 الموضوع : ﴿ أوقد نورك ﴾ 🍂 . ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ ㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤㅤ مِنَ المُؤْمِنِينَ مَنْ يُضِيءُ نُورُهُ مِنَ المَدينَةِ إلى عَدَنَ أبْينَ فَصَنْعاءَ، فَدُونَ ذلكَ، حتى إنَّ مِنَ المُؤْمِنينَ مَنْ لا يُضِيء نُورُهُ إلا مَوْضِعَ قَدَمَيْهِ . وقوله: (ذَلِكَ هُوَ الْ&#…

8views23:16

🎬 MAWAIDHA

آيات من سورة إبراهيم ( 13-23 ) بصوت القارئ جابر بن محمد بقار مدخلي 21-11-1440هـ 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/NbMbGHc7YHg

YouTube

آيات من سورة إبراهيم ( 13-23 ) بصوت القارئ جابر بن محمد بقار مدخلي 21-11-1440هـ

آيات من #سورة_إبراهيم ( 13-23 ) بصوت #القارئ_جابر_بن_محمد_بقار_مدخلي 21-11-1440هـ

7views00:04

July 25


🎬 MAWAIDHA

🔗@BestMawaidha اكتب حسنة تشفع لك يوم القيامة💙 - القارئ منصور السالميhttps://ift.tt/2LBOrzj

Instagram

0:18

الـمـؤمـن almumin

اكتب حسنة تشفع لك يوم القيامة💙 - القارئ منصور السالمي

8views01:13

🎬 MAWAIDHA

NILIPI MUHIMU ZAIDI KATIKA MAISHA YAKO ...? 🔗@BestMawaidhahttps://youtu.be/3fsS4VJWkR0

YouTube

NILIPI MUHIMU ZAIDI KATIKA MAISHA YAKO ...?

7views05:54

🎬 MAWAIDHA

البث المباشر عبر قناة زدني العلمية 🔗@BestMawaidha https://youtu.be/-T0WmD30x4g

YouTube

البث المباشر عبر قناة زدني العلمية

لمتابعة البث المباشر عبر إذاعة زدني العلمية الأولى : http://radio.ddns.me:8002/stream الإذاعة الثانية : http://radio.ddns.me:8003/stream 📱لحميل تطبيق إذاعة ز...

3views07:34



https://t.me/s/BESTMAWAIDHA

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...