Translate

Alhamisi, 3 Januari 2019

New video by GROUP FAIDIKA NA MAWAIDHA on YouTube

Niliolewa tukabahatika kupata mtoto mmoja wakike alipofika miaka miwili tukaachana kwasasa anamiaka
Niliolewa tukabahatika kupata mtoto mmoja wakike alipofika miaka miwili tukaachana kwasasa anamiaka nane hakuna huduma yeyote inayotoka kwa baba ake wala ndugu zake wala mawasiliano kutoka kwao hawamuulizi chochote si kwakujua hali matumizi yeyote je nifanyeje mm nahuyu mtoto nakuwA namuhudumia mwenyewe mavazi matibabu nk❓


View on YouTube

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...