Imetokea muislamu mwenzetu anatatizo yaan anashindwa kusoma kila akitaka kusoma inashindikana akisom
Imetokea muislamu mwenzetu anatatizo yaan anashindwa kusoma kila akitaka kusoma inashindikana akisoma kidogo tu amechoka analala hajisikii kusoma. Je tumsaidiaje hali ya kuwa salaa zote anasali ila kusoma qurain ndio mtihani wa kila akishika anajisikia usingizi*❓
View on YouTube
Translate
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah
إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! 20 - Isti’aadhah (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah ...
-
Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume Awali ya yote nitoe pongezi kwa mama K na Baba K wote popote walipo kwa kazi nzuri ...
-
SWALI: Assalaam alaykum Naomba maana ya majina yeyote tuwapao watoto wetu AU mnielekeze wapi naweza kupata labda katika kitabu cha fas...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni