Translate

Alhamisi, 3 Januari 2019

New video by GROUP FAIDIKA NA MAWAIDHA on YouTube

Mimi munewangu kanambia akizini yeye ndio talaka yangu na mie najua kama anazini sina usbahidi ila k
Mimi munewangu kanambia akizini yeye ndio talaka yangu na mie najua kama anazini sina usbahidi ila kashawahi kumtia mwanamke mpaka chumbani kwangu na sasa tushazaa watoto wanne na yeye simuda mdogo akasema naiondoa ile qaul kama nikizini ndio talaka yako je kama aliposema na akawa anazini bila mie kujua ndoa yetu yawaje na hao watoto tulowazaa wanakua wahalali❓


View on YouTube

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...