Translate

Jumapili, 13 Januari 2019

Hukumu ya Kufupisha kumswalia Mtume Muhammad (Swallah Allaahu Aleyhi wa Sallaam)

BismilLaahir Rahmaniir  Rahmaanir

Naam Sunnah ni kuandika ibara kikamilifu (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) kwani hivyo ni kama du’aa, na du’aa ni ‘Ibaadah (ikiwa kuandika) kama ilivyo katika kutamka. Hivyo kufupisha kutumia herufi (Swaad ص ) au herufi kama (Swaad-Laam-‘Ayn-Miym) sio du’aa wala ‘ibaadah  ikiwa imetajwa katika kutamka au maandishi. 

Kwa sababu kufupisha huko hakukutumiliwa na karne tatu za mwanzo ambazo Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amezishuhudia ubora wake.”

[Fataawaa Al-Lajnat Ad-Daa'imah Namba 18770 (12/208-209) – Kamatia Ya Kudumu Ikiongozwa na Shaykh bin Baaz]  


Tanbihi:  Aghlabu ya watu katika jamii hufupisha kwa kuandika (S.A.W)  yaani “Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam” au kwa kingereza (P.B.U.H) yaani: “Peace be upon him.”  Basi haijuzu kufupish kwa aina yoyote ile.

Na  Allaah  anajua  zaidi


from fisabilillaah.com http://bit.ly/2AHirmo
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...