Aayah Na Mafunzo
Aal-‘Imraan
Hukmu Ya Kufutwa Enyi Walioamini Mcheni Allaah Kama Ipasavyo…
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّـهَ حَقَّ تُقَاتِهِ وَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسْلِمُونَ ﴿١٠٢﴾
102. Enyi walioamini! Mcheni Allaah kama apasavyo kuogopwa na wala msife isipokuwa nyinyi (mmeshakuwa) ni Waislamu. [Aal-'Imraan: 102]
Mafunzo:
An-Naasikh Wal-Nasuwkh: Aayah hii imefutwa hukmu yake kwa Aayah “Basi mcheni Allaah muwezavyo” [At-Taghaabun 64: 16]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni