Translate

Alhamisi, 1 Novemba 2018

Je, maamuma wakae kikao cha kupumzika ikiwa imamu hakukaa?

Swali 25: Je, maamuma wakae kikao cha kupumzika[1] (جلسة الاستراحة) ikiwa imamu hakukaa?

Jibu: Maamuma anatakiwa kukaa kikao cha kupumzika ikiwa imamu hakukaa. Ni kama mfano wa kunyanyua mikono katika Takbiyrat-ul-Ihraam, baada ya kuinuka kutoka kwenye Rukuu´ au kuinuka kutoka katika Tashahhud ya kwanza japokuwa imamu yeye hatonyanyua.

[1] https://ift.tt/2JvG3xt

from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2Dgyx9l
via IFTTT

Kusherehekea siku ya kuzaliwa (Birthday) – Abu Ayman as-Saalimiy



from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2SzaWFf
via IFTTT

Tanbihi dhidi ya watu wanaoleta chokochoko



from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2zjm4xk
via IFTTT

Ahkaam-ul-Janaa-iz 03



from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2SB56Dl
via IFTTT

Ahkaam-ul-Janaa-iz 02



from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2zn1OuS
via IFTTT

Uwajibu wa muislamu kuwa mpole anapotakiwa kuwa mpole



from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2SBnrjM
via IFTTT

Ahkaam-ul-Janaa-iz 01



from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2Of7X1u
via IFTTT

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...