Dawa ya asili inayoongeza kinga ya mwili
Kumbuka, ile hali ya kuonekana umezeeka au mwili wako kuonekana umechoka mara zote huwa kuna uhusiano wa moja kwa moja na kushuka kwa kinga yako ya mwili hali ambayo inauacha mwili wako kushambuliwa kirahisi na vijidudu nyemelezi na magonjwa mbalimbali.
Kama unataka kuishi vizuri kila siku basi jifunze namna kinga yako ya mwili inavyoweza kuongezwa kila siku kadri unavyoendelea kuishi.
Kinga ya mwili ni kile unachokula kila siku kimwili na kiroho. Kile unachokula kila siku ndicho kitakachoamua aina ya kinga ya mwili utakayokuwa nayo. Na ndiyo maana mara zote unatakiwa ule chakula kinachokufanya uishi na siyo kinachokufanya ushibe!
Dawa za asili kwa ajili ya kuongeza Kinga ya mwili
1. Mafuta ya habbat soda
Unaweza kutumia mafuta ya habbat soda kuimarisha kinga yako ya mwili kwa ujumla na hivyo kuongeza ulinzi wa mwili wako dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo dhidi ya bakteria na virusi.
Wengi wetu tunakumbwa na tatizo la kupungukiwa damu (anemia) na hili linaweza kuiweka miili yetu katika hali ya hatari zaidi. Kwa mara nyingine tena mafuta ya habbat soda yanaonekana kuokoa tatizo hili baya la kiafya.
Yamethibitika kutibu tatizo la upungufu wa damu moja kwa moja.
Tafiti zimeonyesha mafuta ya habbat soda kuwa msaada mkubwa katika kudhibiti tabia za kuhamaki na wasiwasi na hivyo kukuwezesha kujisikia vizuri kila mara.
Na utaona matokeo haya baada ya matumizi ya habbat soda kwa siku 30 hivi.
Tafiti kadhaa zimeonyesha watu waliokuwa wakitumia mafuta ya habbat soda wanakuwa ni watu wenye furaha ya asili na kuwa si wepesi kuwa na huzuni au kufadhaika.
Kazi hii ya mafuta ya habbat soda ndiyo mhimu kuliko zote sababu mamilioni ya watu wanakabiliwa na tatizo la kuwa na huzuni au stress na mifadhaiko ya akili kitendo ambacho kinaweza kuharibu kinga zao za mwili na maisha kwa ujumla.
Ni vigumu sana kupata mtishamba ambao unaweza kutibu matatizo yanayohusiana na saikolojia moja kwa moja lakini mafuta ya habbat soda yanaweza kutumika kwa dhumuni hili la kutuliza, kupunguza na kutibu tatizo la huzuni au kufadhaika kwa akili.
Mafuta ya habbat soda ndiyo bidhaa pekee ya asili iwezayo kuimarisha kinga yako ya mwili kwa muda mfupi.
*Unaweza kutumia dawa hii mpaka miezi 6 mfululizo pia unaweza kuitumia hata kama huumwi chochote.
*Ili ifanye kazi vizuri dawa hii haipaswi kutumiwa sambamba na dawa nyingine yoyote ya hospitali.
*Usitumie dawa hii bila uangallizi wa karibu wa Tabibu.
Kama unahitaji mafuta ya habbat soda kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili niachie ujumbe WhatsApp +255714800175
Elewa mafuta haya ni kitu kisichopatikana kirahisi na ni kitu kisichojulikana na watu wengi, usipokuwa makini utauziwa feki.
2. Unga wa majani ya Mlonge
Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean.
Mti huu umeripotiwa kuwa dawa nzuri kwa ajili ya kuongeza kinga ya mwili.
Karibu kila sehemu ya mti huu hutumika kama dawa bali kwenye majani yake ndiko kuna viinilishe vingi mara dufu zaidi hasa yanapoandaliwa na kuwa katika mfumo wa unga.
Sasa unaweza kuwa unajiuliza ni nini kinachoufanya mti wa mlonge mti huu wa ajabu kuwa kitu cha thamani SANA katika kuimarisha kinga yako ya mwili na hivyo kujikinga na vijidudu nyemelezi, homa na magonjwa mbalimbali?
Kwanza kabisa mlonge umebarikiwa kuwa na viinilishe vingi zaidi kuliko mti mwingine wowote chini ya jua ukiwa na viinilishe 92 ndani yake, una vitamini nyingi, madini na viondoa sumu mwilini tofauti tofauti 46! Huu ndiyo ukweli wa kustaajabisha wa mti huu unaoleta afya na maisha.
Kwahiyo nipe nafasi nikueleze kiundani kidogo kuhusu hivi viinilishe katika mti wa mlonge vinavyoufanya kuwa silaha kubwa katika vita yako ya kulinda kinga ya mwili wako na utaona ni kwanini habari hii uisomayo ni dhahabu katika maisha yako.
Watu wengi ukiwaambia kinga yangu inashuka lazima hawaataacha kukushauri upendelee kula machungwa, si ndiyo? Hili siyo jipya kwako. Habari mpya kwako ni kuwa mlonge una vitamini C mara 7 ZAIDI YA ILE INAYOPATIKANA KATIKA MACHUNGWA!
Na hivyo mlonge unabaki kuwa ndicho kitu pekee chenye nguvu ya kuondoa sumu mwilini kuwahi kutokea katika historia.
Vitamini C kama wote tujuavyo ni kitu mhimu katika kurejesha kinga ya mwili kwa sababu ni vitamini inayofanya kazi ya kuripea seli za mwili na kinga ya mwili. Zaidi sana vitamini C huimarisha ngozi ya mwili, nywele, fizi, macho na kuongeza nguvu ya jumla ya mwili kwa kuyataja machache mazuri ya vitamini C
Changanya matunda yote na mboga za majani zote bado viinilishe vyake kwa pamoja haviwezi kuvifikia vile vilivyomo kwenye mlonge!
Ni kusema mtu aliyekula matunda na mboga za majani zote bado hatakuwa na afya bora kama yule atakayetumia mlonge tu.
Maajabu yanaendelea …
Vitamini A ni moja ya vitamini zinazotajwa kuwa mhimu sana katika kuimarisha kinga ya mwili. Vitamini A ni mhimu kwa watu wanaosumbuliwa na matatizo kama ya kuharisha, upungufu wa kinga mwilini, surua na malaria.
Ukiwaambia watu una upungufu wa vitamini A au macho yako hayaoni vizuri mara zote watakuambia pendelea kula karoti, si ndiyo? Kile ulikuwa hufahamu ni kuwa MLONGE UNA VITAMINI A MARA 4 ZAIDI YA ILE ILIYOMO KWENYE KAROTI!
Vileviele madini ya chuma (Iron) ni kitu mhimu katika mfumo wa kinga ya mwili ambayo hukuwezesha usipatwe na magonjwa na homa mara kwa mara.
Ukiishiwa madini ya chuma mara nyingi utashauriwa ule sana spinachi. Habari njema kwako ni kuwa mlonge UNA MADINI YA CHUMA MARA 25 ZAIDI YA ILE ILIYOMO KWENYE SPINACHI.
Unasemaje ndugu msomaji mpaka hapo! Una swali?
Pia mlonge una beta-carotene.
Mlonge unaimarisha usawa wa himoglobini katika damu jambo ambalo matokeo yake ni kuimarika kwa kinga yako ya mwili.
Kwa kuongezea mlonge una lundo la vitamini kundi B kuliko mti au mmea mwingine wowote unaoufahamu. Mlonge una vitamini B, B1, B2, B3, B5, B6, B12, D, E, K, folic acid, Kalsiamu (mlonge una Kalsiamu mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe), madini ya shaba, potasiamu, magnesia, kromiamu na vitamini, na madini madogo madogo mengine mengi mhimu kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili.
Elewa tu kwamba mti huu wa maajabu mti wa mlonge na majani yake mti ambao hujulikana pia kama mti wa uzima una viinilishe bora na mhimu zaidi kwa ajili ya kuongeza kinga ya mwili ambavyo siyo rahisi kuvielezea vyote kimoja baada ya kingine
Kwahiyo, kama unasumbuliwa na homa za mara kwa mara au unataka tu kuiweka kinga yako katika ubora wake wa juu kabisa, katika kipindi chochote cha mwaka, basi hakikisha nyumbani kwako hakukosekani unga wa majani ya mlonge kwa ajili yako, watoto wako na wale uwapendao
Mlonge unasafisha mwili wako wote, unasafisha ini, figo, moyo, macho, unaimarisha meno, ngozi na nywele.
Wakati unatumia mlonge unakufanya ujisikie vizuri, ujisikie mpya (fresh) na mwenye nguvu. Watu wengi wanaotumia mlonge huwa ni wenye afya nzuri hata kwa muonekano tu hata wanapokuwa na umri mkubwa zaidi ya miaka 90.
Matatizo mengi ya kiafya ni matokeo ya lishe yenye viinilishe duni au hafifu jambo linalopelekea kuwa na kinga ya mwili isiyo na nguvu kupigana na magonjwa mbalimbali.
Unaporekebisha usawa huo usio sawa wa kinga yako ya mwili kwa kutumia mimea mhimu ya asili hutakawia kuona matokeo mazuri kwenye afya yako.
Uwezo wa mti wa mlonge kuyaweza yote hayo ni kutokana na kuwa na vitamini, madini mbalimbali na viondowaji sumu vingi kuliko mmea mwingine wowote.
Wagonjwa wengi wenye UKIMWI katika sehemu nyingi za afrika magharibi wameripoti kuongezeka kiasi kikubwa cha kinga zao za mwili kiasi cha kutokuhitaji dawa baada ya kutumia mlonge.
Hakika kuna siku utakuja kunishukuru kwa maelezo haya ya bure!
Majani ya mlonge yana faida nyingi kiafya yanapokuwa katika mfumo wa unga. Yanaweza pia kutafunwa mabichi yenyewe kama yalivyo au unaweza kuyachanganya kwenye kachumbari, na yanaweza pia kuchemshwa kidogo na kuliwa kama mboga nyingine yoyote ya majani.
Unga wa mlonge unaweza kuhifadhiwa kwa miezi kadhaa bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya.
Faida za mlonge zimeandikwa na majarida ya afya na lishe kadhaa duniani.
Kile ulikuwa hujuwi ni kuwa viwanda na makampuni mengi ya dawa za hospitalini yamekuwa yakitumia virutubishi vilivyomo kwenye mti huu kutengenezea madawa kwa ajili ya binadamu na wanyama.
Mlonge pia una zile amino asidi mhimu 9 za kwenye protini. Nitazitaja hizo amino asidi zote hapa chini na kazi zake:
- Threonine – a nutrient that helps metabolism and prevent fatty build up in the liver. It also aids digestion.
- Isoleucine – good for a healthy brain and helps to give the body natural energy.
- Leucine – works hand in hand with isoleucine to increase energy levels.
- Phenylalanine – aids communication between the brain’s nerve cells and also helps to reduce hunger pangs as well as increasing alertness and improving memory.
- Tryptophan – supports your immune system, and its mood boosting ability helps to beat depression and anxiety-associated insomnia. It also reduces the risk of heart attack and lowers bad cholesterol levels.
- Lysine – aids the absorption of calcium into the bones, supports antibodies and regulates various hormones as well as inhibiting the growth of virus cells.
- Methionine – provides the body with sulphur as well as helping to lower cholesterol. It also supports the liver, kidneys, and helps keep skin, hair and nails healthy.
- Valine – helps to keep the mind calm.
There are other amino acids in Moringa too which are not essential to the body but still beneficial in supporting health. These include histidine, alanine, glutamic acid, arginine, cysteine, proline, aspartic acid, glycine, serine and tyrosine. Moringa seeds contain oils that hold high levels of oleic acid, which may act to reduce inflammation.
Hii ni orodha ya viinilishe 126 vinavyopatikana kwenye mlonge na ukumbuke ni mimi tu ndiyo nimeweza kuvitaja viinilishe hivi vyote kwa majina:
1.iron | 64.Pentena |
2.copper | 65.2-Hexenal |
3.sodium | 66.Heptenal |
4.calcium | 67.2,4-Heptadienal |
5.magnesium | Alcohols |
6.phosphorus | 68.2-Pentenol |
7.potassium | 69.3,3-Dimethyl-Cyclohexanol |
8.sulfur | 70.Benzyl alcohol |
9.manganese | Ketones |
10.zinc | 71.Methyl heptenone |
11.selenium | 72. 2-Hexen-4-olide |
Vitamins | 2-Acetyl pyrrole |
12.vitamin B1 (thiamin) | 74.Dihydroactinidolide |
13.vitamin E | Terpenoids |
14.Vitamin B1 | 75.alpha-Himachalene |
15.Vitamin B6 | 76.(E)-Geranyl acetone |
16.Vitamin B7 | >77.Ti(E)-beta-Ionone |
17.Vitamin D | Acids |
18.Vitamin K | 78.Acetic acid |
19.vitamin B2 (riboflavin) | 79.Pentanoic acid |
20.vitamin B3 (niacin) | 80.Hexanoic acid |
21.Vitamin C | 81.Octadecanoic acid |
Amino acids | 82.Hexadecanoic acid |
22.aspartic acid | 83. erythrobic acid |
23.glutamic acid | 84.citric acid |
24.serine | Others |
25.glycine | 85.meChlorophyll |
26.threonine | 86.meDihydrozeatin |
27.alanine | 87.Zeatin |
28.valine | 88.Carbohydrates |
29.leucine | 89.fibers |
30.isoleucine | Alkaloids |
31.histidine | 90.Moringine |
32.lysine | 91.Strophantidin |
33.arginine | 92.4-(α-l-rhamnosyloxy) |
34.phenylalanine | 93.benzyl isothiocyanate |
35.tryptophan | 94.4-(4’-O-acetyl-α-l-rhamnosyloxy) |
36.cystine | 95.benzyl isothioyanate |
37.proline | Flavonoids |
38.tyrosine | 96.Catechin |
39.methionine | 97 (β-d-glucopyranosyl-1) |
40.cysteine | 98.benzyl thiocarboxamide |
41.phenylalanine | 99.Epicatechin |
42.choline | 100.4-O-(α-l-rhamnosyloxy) |
Fats | 101.benzyl glucosinolate |
43.Myristic | 102.Quercetin |
44.Palmitic | 103.4-benzylglucosinolate |
45.Palmitoleic | 104.Kaempferol |
46.Stearic | 105.Niazimicin |
47.Oleic | 106.4-(α-l-rhamnosyloxy) |
48.Linoleic | 107.benzyl acetonitrile (niazirin) |
49.Linolenic | 108.O-ethyl-4-(α-l-rhamnosyloxy) |
50.Arachidic | 109.benzyl carmate |
51.Eicosenoic | Phenolic |
52.Behenic | 110.Gallic acid |
53.Lignoceric | 111.Glycerol-1-1-(9-octadecanoate) |
Sterols | 112.p-Coumaric acid |
54.Cholesterol | 113.3-O-(6’-O-oleoyl-β-d-glucopyranosyl)-β-sitosterol |
55.Brassicasterol | 114.Ferulic acid |
56.24-methylenecholesterol | 115.β-sitosterol-3-O-β-d-glucopyranoside |
57.Campesterol | 116.Caffeic acid |
58.Stigmasterol | 117.3-Hydroxy-4-(α-l-rhamnopyranosyloxy) |
59.Ergostadienol | 118.benzyl glucosinolate |
60.Clerosterol | 119.Protocatechuic acid |
61.Stigmastanol | 120.4-(2/3/4′-O-acetyl-α-l-rhamnopyranosyloxy) |
62.β-sitosterol | 121.benzyl glucosinolate |
63.venasterol | 122.Cinnamic acid |
123.Glucosinalbin | |
124.Ellagic acid | |
125.Glucoraphanin | |
126.Glucoiberin |
Hii ni orodha ya viondoa sumu (antioxidants) 46 na zaidi vipatikanavyo katika mlonge:
Antioxidants (9, 11, 12, 13, 14, 15)
- β-carotene
- calcium
- potassium
- quercetin
- chlorogenic acid
- hydroxyanisole (BHA)
- butylated hydroxytoluene (BHT)
- tertiary-butylhydroquinones
- propyl gallate
- vitamin E (tocopherols)
- ascorbic acid (vitamin C)
- glucose oxidase
- reduced glutathione
- citric acid
- polyphospages
- aminopolycarboxylic acids
- vanillin
- moringine
- strophantidin
- 4-(α-l-rhamnosyloxy)
- benzyl isothiocyanate
- 4-(4’-O-acetyl-α-l-rhamnosyloxy)
- benzyl isothioyanate
- catechin
- 4-(β-d-glucopyranosyl-1→4-α-l-rhamnopyranosyloxy)
- benzyl thiocarboxamide
- epicatechin
- 4-O-(α-l-rhamnosyloxy)
- benzyl glucosinolate
- 4-(α-l-rhamnopyranosyloxy)-benzylglucosinolate
- Kaempferol
- Niazimicin
- 4-(α-l-rhamnosyloxy)
- benzyl acetonitrile (niazirin)
- O-ethyl-4-(α-l-rhamnosyloxy)
- benzyl carmate
- Gallic acid
- Glycerol-1-1-(9-octadecanoate)
- p-Coumaric acid
- 3-O-(6’-O-oleoyl-β-d-glucopyranosyl)-β-sitosterol
- Ferulic acid
- β-sitosterol-3-O-β-d-glucopyranoside
- Caffeic acid
- 3-Hydroxy-4-(α-l-rhamnopyranosyloxy)
- benzyl glucosinolate
- Protocatechuic acid
- 4-(2/3/4′-O-acetyl-α-l-rhamnopyranosyloxy)
- benzyl glucosinolate
- cinnamic acid
- glucosinalbin
- ellagic acid
- glucoraphanin
- glucoiber
Hii ndiyo sababu waNigeria waliuita mlonge kwa jina la utani kama “Nebedaya”, ambalo maana yake ni mti USIOKUFA!
Usiahau pia kunywa maji ya kutosha kila siku, kufanya mazoezi ya viungo na kuwa na afya njema kiroho ili kuwa na kinga imara ya mwili wako.
*Ili ifanye kazi vizuri dawa hii haipaswi kutumiwa sambamba na dawa nyingine yoyote ya hospitali.
*Usitumie dawa hii bila uangallizi wa karibu wa Tabibu.
Kama unahitaji unga wa majani ya mlonge kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili niachie ujumbe WhatsApp +255714800175
Unga wangu wa majani ya mlonge ni mzuri na naweza kusema pasipo na hofu kuwa huwezi kupata sehemu nyingine wenye ubora unaokaribia na wangu. Ninauandaa kwa umakini mkubwa ili ubaki na viinilishe vyake na ni wa kijani kweli kweli
Kama una ushuhuda wowote kuhusiana na unga wa majani ya mlonge kuongeza KINGA YA MWILI ningefurahi kama utaniandikia hapo chini kwenye comment
Vitu vinavyoharibu na kushusha kinga ya mwili
1. Msongo wa mawazo (stress)
2. Vilevi vyote
3. Lishe duni (chakula kichache)
4. Kutokufanya mazoezi ya viungo
5. Kutumia dawa za kupunguza maumivu kila mara bila ushauri wa kitaalamu
Kama una swali zaidi niulize hapo chini kwenye comment
Soma pia hii > VYAKULA 16 VINAVYOONGEZA KINGA YA MWILI
Tafadhari SHARE post hii kwa ajili ya wengine
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni