Swali: Nikiwa katika safu ya pili na nikaona upenyo katika safu ya kwanza inafaa kwangu kutembea kwenda kuuziba?
Jibu: Ndio, inafaa ikiwa wale walioko mbele yako hakuna yeyote aliyeziba upenyo huo. Lakini ikiwa kati yako wewe na upenyo huo kuna safu na huwezi kufanya hivo mpaka uanze kwanza kujipenyeza katikati ya watu basi usifanye hivo. Lakini nenda ukazibe ikiwa ni mbele yako.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2YjOG52
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni