Swali: Tofauti ilioko kuhusu hukumu ya ambaye haswali ni tofauti inayozunguka juu ya mzunguko wa Ahl-us-Sunnah?
Jibu: Ndio, ni tofauti inayozunguka juu ya mzunguko wa Ahl-us-Sunnah. Ahl-us-Sunnah wenyewe wanatofautiana kama wanavotofautiana kwa mfano katika masuala ya ambaye amekula nyama ya ngamia analazimika kurudi kutawadha au hapana.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2DRQBWv
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni