Translate

Jumatano, 2 Januari 2019

83. Matamshi ya sita ya kumswalia Mtume

6-

اللهم صل على محمد و [على]أزواجه و ذريته كما صليت على [آل]إبراهيم، و بارك على محمد و [على]أزواجه و ذريته كما باركت على [آل]إبراهيم، إنك حميد مجيد

“Ee Allaah! Msifu Muhammad na wakeze na kizazi chake kama Ulivyowasifu [jamaa za] Ibraahiym. Na mbariki Muhammad na wakeze na kizazi chake kama Ulivyowabariki [jamaa za] Ibraahiym. Kwani hakika Wewe ni Mwenye kuhidimiwa na Mwenye kutukuzwa.”[1]

[1] al-Bukhaariy, Muslim na an-Nasaa’iy (59/164).



from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2AqeMce
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...