Translate

Jumatano, 2 Januari 2019

81. Matamshi ya nne ya kumswalia Mtume

4-

اللهم صل على محمد [النبي الأمي]و على آل محمد كما صليت على [آل]إبراهيم، و بارك على محمد [النبي الأمي]و على آل محمد كما باركت على [آل]إبراهيم في العالمين، إنك حميد مجيد

“Ee Allaah! Msifu Muhammad [Mtume ambaye si msomi] na jamaa zake Muhammad kama Ulivyowasifu [jamaa za] Ibraahiym. Mbariki Muhammad [Mtume ambaye si msomi] na jamaa zake Muhammad kama Ulivyowabariki [jamaa za] Ibraahiym. Kwani hakika Wewe ni Mwenye kuhidimiwa na Mwenye kutukuzwa.”[1]

[1] Muslim, Abu ´Awaanah, Ibn Abiy Shaybah katika ”al-Muswannaf” (1/132/2), Abu Daawuud na an-Nasaa’iy (159-161). Swahiyh kwa mujibu wa al-Haakim.



from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2R6pkIb
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...