3-
اللهم صل على محمد و على آل محمد كما صليت على إبراهيم [و آل إبراهيم]، إنك حميد مجيد. و بارك على محمد و على آل محمد كما باركت على [إبراهيم و]آل إبراهيم، إنك حميد مجيد
“Ee Allaah! Msifu Muhammad, jamaa zake Muhammad kama Ulivyomsifu Ibraahiym [na jamaa zake Ibraahiym]. Kwani hakika Wewe ni Mwenye kuhidimiwa na Mwenye kutukuzwa. Mbariki Muhammad, jamaa zake Muhammad kama Ulivyombariki [Ibraahiym na] jamaa zake Ibraahiym. Kwani hakika Wewe ni Mwenye kuhidimiwa na Mwenye kutukuzwa.”[1]
[1] al-Bukhaariy, Muslim, an-Nasaa’iy katika ”´Amal-ul-Yawm wal-Laylah” (54/162), al-Humaydiy (1/138) na Ibn Mandah ambaye amesema: “Kuna maafikiano juu ya usahihi wa Hadiyth hii.” (02/68)
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2BZgNw2
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni