Kuhusu mapote mengine wakiwemo Khawaarij wanaonasibisha uadui kwa Nyumba, basi hakuna dalili juu ya unajisi wao japokuwa ni wenye adhabu kali zaidi kuliko makafiri. Kwa hivyo mamlaka yakifanya uasi dhidi ya ´Aliy kwa sababu ya utawala au kwa sababu nyingine, kama alivofanya ´Aaishah, az-Zubayr, Twalhah na Mu´aawiyah, au mmoja wao akanasibisha uadui kwake au audui kwa mmoja katika maimamu wengine, hilo halipelekei unajisi wa uinje japokuwa wao ni wachafu zaidi kuliko mbwa na nguruwe.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2zEywsr
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni