Katika vitabu viwili vya Miswbaah kumepokelewa kwa cheni ya wapokezi Swahiyh kutoka kwa ´Uqbah bin Khaalid ambaye amesimulia kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Ja´far ambaye amesema kuhuus matembezi ya ´Aashuuraa´:
“Ee Allaah! Wakhusishe kwa ajili yangu kwa kumlaani dhalimu wa kwanza, kisha wa pili, kisha watatu, kisha wa nne. Ee Allaah! Mlaani Yaziyd bin Mu´aawiyah akiwa wa tano… “
Khabari zinathibitisha juu ya ukafiri wa Abu Bakr, ´Umar na watu mfano wao, thawabu za kuwalaani na kujitenga mbali na wao na Bid´ah zao ni nyingi kiasi cha kwamba haziwezi kutajwa katika mjeledi huu au mijeledi mingi. Yale tuliyoyataja yanatosheleza kwa yule ambaye Allaah anataka kumwongoza.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2zBBP3M
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni