al-Kulayniy amesema:
“Watu wote ni watoto wa uzinifu isipokuwa tu kundi letu.”[1]
Kwa ajili hiyo wamehalalisha kuwaua Ahl-us-Sunnah na kupora mali yao. Daawuud bin Farqad amesema:
“Nilimuuliza Abu ´Abdillaah kuhusu kumuua naswibi ambapo akajibu: “Ni halali kumuua, lakini mimi nachelea juu yako. Ukiweza kumpindulia ukuta au kumzamisha kwenye maji kwa njia ya kwamba hakuna yeyote atakayekuona, basi fanya hivo.”[2]
Imaam al-Khumaymiy ametilia taaliki hili na akasema:
“Ukiweza kuichukua mali yake basi fanya hivo na ututumie fungu moja ya tano.”
[1] ar-Rawdhwah (8/135).
[2] Bihaar-ul-Anwaar (27/231).
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2P8Twwp
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni