Swali: Kuna mmoja katika ndugu zangu anakunywa pombe. Nimemnasihi lakini bado anaendelea kunywa. Ni lipi la wajibu kuhusiana naye?
Jibu: Muepuke na mkate mpaka pale atapotubia kwa Allaah na kuachana na pombe.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2PAHb8t
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni