Swali: Ni ipi hukumu watu wa kawaida wakaiga madhehebu maalum na wakarejea kwa baadhi ya wanachuoni? Je, huo ni ushabiki?
Jibu: Hapana, kwa sababu Allaah (Jalla wa ´Alaa) amesema:
فَاسْأَلُوا أَهْلَ الذِّكْرِ إِن كُنتُمْ لَا تَعْلَمُونَ
“Waulizeni watu wa ukumbusho mkiwa hamjui.”[1]
Asiyekuwa na elimu anapaswa kuwauliza wanachuoni. Allaah ndiye kaamrisha hilo.
[1] 21:07
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2PRrlHF
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni